Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 19 January 2018

UZINDUZI WA MBIO ZA 21KM TIGO KILIMANJARO MARATHONI MOSHI MJINI JANA

Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Msimu wa 16 wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Kibo Palace Homes mini Moshi. Mashindano ambayo Kampuni ya Tigo inadhamini Mbio za Nusu Marathon, Km 21.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa Mbio hizo ambazo hufanyika kila mwaka mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wageni waliofika wakati wa uzinduzi wa Mbio hizo ambazo hufanyika kila mwaka mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Msimu wa 16 wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (Mwenye kofia) akiwa ameketi na Wawakilishi wa Kampuni zinazodhamini Mbio hizo, Tigo na TBL pamoja na viongozi wa Chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro, Jeshi la Polisi na Chuo Kikuu cha Ushirika, Moshi.
Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Msimu wa 16 wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (Mwenye kofia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mbio hizo huku Wadhamini wa Mbio hizo Kampuni ya Tigo (Km 21) na TBL (km 42 ) wakishuhudia.

Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Msimu wa 16 wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (Mwenye kofia) akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa Mbio hizo pamoja na Wadhamini wakuu, Kampuni ya Tigo na TBL.

No comments:

Post a Comment