Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 23 January 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 22, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor mara baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 22, 2018.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment