Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 16 January 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI 6 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 16, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Dkt. Sahabu Isah Gada aliyeteuliwa kuwa balozi wa Nigeria nchini. Januari 16, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Balozi Mteule Krzysztof Buzalski aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Poland nchini, akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Ali Davutoglu aliyeteuliwa kuwa balozi wa Uturuki nchini. Januari 16, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Frederic Clavier wa Ufaransa mara baada ya kupokea hati ya utambulisho ya kuwa Balozi wa Ufaransa nchini.  Januari 16, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Noah Gal Gendler aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Israel nchini. Januari 16, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Robert Sirotka Mume wa Balozi Alison Chartres aliyeteuliwa kuwa balozi wa Australia nchini. Januari 16, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment