Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 29 September 2017

KAMPUNI YA BIMA YA MGEN INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE MBILI ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA HOSPITALI YA MAWANANYAMALA

1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Ernestina Mwipopo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo jumla ya msada wote ni shilingi milioni 3.8.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)

2
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya kuwahudumia watoto kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Ernestina Mwipopo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospital hiyo.

4
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe na Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Ernestina Mwipopo mara baada ya kukabidhiana msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) jijini Dar es salaam.

5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.

6
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo wa pili kutoka kulia ni Lugano Mkisi Mkuu wa Masoko Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania.

7
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakiwa katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.

8
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakibeba miziogo baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.

9
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakishusha mizigo kwenye gari mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.

No comments:

Post a Comment