Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 5 May 2016

BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA YA BIASHARA YA KATI (BUSINESS BANKING)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru, akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Kassim Hussein (kushoto), alipokwenda kuzindua Huduma ya Biashara ya Kati ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Edward Marks na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Nehemiah Mchechu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia), akishikana mikono na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru, katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Huduma ya Biashara ya Kati ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya benki hiyo, Nehemiah Mchechu na kushoto na mjumbe wa Bodi ya NBC, Anthony De La Rue.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Nehemiah Mchechu akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru akihutubia wakati akizindua rasmi Huduma ya Biashara ya Kati ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Biashara ya Kati ya Benki ya NBC Tanzania, Elvis Ndunguru akizungumza katika hafla ya uziunduzi huo jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wateja na wafanyabiashara waliohudhuria uzinduzi wa Huduma ya Biashara ya Kati ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment