Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 26 August 2015

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC), NEHEMIAH KYANDO MCHECHU AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA BUILDEXPO AFRICA 2015 DAR

Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. Maonyesho yalifunguliwa Jumamosi iliyopita.
Nehemiah Kyando Mchechu akionyesha jarida la BuildMart ambalo nalo lilizinduliwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya Uturuki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya China kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.

WANAWAKE WAKIAFRIKA WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

Rubani Anne-Marie Lewis ni mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania.
Pamoja na kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga bado ni mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote. Hayo ni maneno kutoka kwa rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis, ambaye huongoza ndege hii ya Airbus katika mikoa ya Tanzania na nchi nyingine za jirani.

Wanawake wanapaswa kuelewa kwamba hakuna aina ya kazi ambayo ipo kwa ajili ya wanaume peke yao, bali wanawake wataleta kwenye sekta ya usafiri wa anga uwezo wao wa kufanya kazi kwa bidii, kulea na ujuzi wao wa usimamizi bora. Alisema hayo wakati wa mahojiano maalumu na mwandishi wetu.

TANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI

Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga hivi karibuni.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini ya mjini Tanga wakimwagilia maji miti waliyoipanda katika hafla ya upandaji miti iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla ya upandaji miti iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga.

BARCLAYS BANK TANZANIA LAUNCHES PREMIER LEAGUE CAMPAIGN IN DAR

Barclays Bank Head of Customers Network Consumer Banking, Emmanuel Katuma (first left) speaks during the official launch of the Barclays Premier League campaign in Dar es Salaam. With him is Marketing Officer, Nasikiwa Berya (centre) and the banks Manager Digital Channels, Oscar Mwamfwagasi.

FIRST NATIONAL BANK YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National Benki la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa Djibouti Said Shamo na Mkuu wa Huduma za Rejareja wa benki hiyo, Francois Botha.

FIRST NATIONAL BANK TANZANIA OPENS NEW BRANCH IN MBEZI BEACH

The Kinondoni District Commissioner, Paul Makonda (centre) cuts a ribbon to launch the First National Bank Mbezi Beach branch. He is flanked by the Djibouti Honorary Consul Said Shamo (left)and the bank’s Head of Retail Business, Francois Botha (left).

ROTARY CLUBS & BANK M TEAM UP FOR A HEALTHCARE FACILITY FUNDRAISING MARATHON

Rotary Dar Marathon Board Chair Ms. Sharmila Bhatt speaking in regard to the preparations of the Dar Rotary Marathon 2015 set to take place on 14th October 2015 with the theme “Healing lives, transforming communities”, she is flanked by the Rotary Dar Marathon PR Director Ms. Nikki Aggarwal and Bank M’s Deputy CEO Ms. Jacqueline Woiso, Bank M is once again the main sponsor of the Dar Rotary Marathon 2015.
Bank M's Deputy CEO Ms. Jacqueline Woiso (second right) and the Rotary Dar Marathon Board Chair Ms. Sharmila Bhatt (second left) signing the partnership agreement during the official signing ceremony held at the Hyatt Regency today. The DSM Rotary clubs and Bank M team up for the Dar rotary Marathon 2015 scheduled to take place on the 14th October 2015 with the theme "Healing lives, transforming commnities" whereby proceed will be directed towards the construction of a healthcare facility in DSM. With them is the Rotary Dar Marathon PR Director Ms. Nikki Aggarwal and Ms. Leina Lemomo who is a committee member.
Rotary Clubs in Dar es Salaam, in association with Bank M Tanzania plc, have once again join hands to organized a fund rising marathon, dubbed Rotary Dar – Marathon 2015. The theme this year is – ‘Healing lives, transforming communities’ hence the proceeds of the walk will be directed towards construction of a state of the art healthcare facility in Dar es salaam.

The Rotary Dar Marathon, will be held on Wednesday October 14th 2015, according to the Chairperson of the organizing committee, Sharmila Bhatt said “is in line with the Rotary tradition of working together with communities and corporate partners so as to address the needs of the people. Rotary in Tanzania has grown and is growing and we shall keep growing and making a difference to our community.”

Tuesday 25 August 2015

10 BUDGET AIRLINES CHANGING AFRICA'S SKIES

Traveling across Africa's huge distances used to be expensive and involved tedious connections through Europe. That's finally changing.

fastjet - Initially plying domestic routes in Tanzania, fastjet started small in 2011, but has since expanded to four other countries. With Ed Winter, a former easyJey executive at the helm, it's looking to break into the lucrative South African domestic market.
Mango - Flying within South Africa and to Zanzibar, Mango loves flash sales and will rebate flyers who join its mailing list.
Kulula - Launched in 2001, Kulula offers what sometimes seems a lighthearted take on flying, with bright green planes and wisecracking flight attendants. But it's serious business. Its operators Comair is partnered with British Airways, Air France and Kenya Airways, and it's spread from South Africa to five other countries.
flyafrica.com - Filling the void left by the shrunken Air Zimbabwe, flyafrica.com offers some seriously tempting deals -- when it launched some flights were as little as ($9). It also runs regular flights from South Africa to Harare, popular with Zimbabwean expats.
FlySafair - One of the newest kids on the block, FlySafair launched in October 2014 in direct competition with Kulula and Mango. Ticket prices have been pared back recently to reflect lower fuel prices.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD ATEMBELEA JENGO LA MAKAZI LA NHC ECO RESIDENCE, HANANASIF KINONDONI

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki.
Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpokea Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye alitembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati kiongozi huyo wa kitaifa alipotembelea jengo la Nyumba za makazi za NHC Eco Residence la Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.

EXIM BANK TANZANIA'S PROFIT SOARS BY 69%

Exim Bank Chief Finance Officer (CFO) Mr Selemani Ponda (centre) addresses a press conference to announce the bank’s financial performance for the second quarter of the 2015 financial year in Dar es Salaam yesterday. The bank’s profit soared by 69 per cent Quarter on Quarter (QoQ) growth. Looking on is the bank’s Deputy Chief Finance Officer Mr Issa Hamisi (1st left) and the bank’s Senior Manager Research and Business Analysis Mr Joseph Mrawa(1st right).
Exim Bank Chief Finance Officer (CFO) Mr Selemani Ponda (1st right) addresses a press conference to announce the bank’s financial performance for the second quarter of the 2015 financial year. The bank’s profit soared by 69 per cent Quarter on Quarter (QoQ) growth. Looking on is the bank’s Deputy Chief Finance Officer Mr Issa Hamisi (centre) and the bank’s Chief Internal Auditor Mr George Binde (1st left).
Dar es Salaam, August 24, 2015 - EXIM Bank posted a pretax profit of TZS 12.79 Billion for the Quarter ended Jun 2015 as compared to TZS 7.56 Billion the previous quarter, depicting a 69% Quarter on Quarter (QoQ) growth.

“We are pleased to report good results for the second quarter of the 2015 financial year,” said Selemani Ponda, the Exim Bank Chief Finance Officer (CFO), speaking to journalists in Dar es Salaam.

The pre-tax profit for the cumulative period ended June 2015 was TZS 17.87 Billion, (28%) higher than TZS 13.96 Billion for the corresponding period in the previous year.

Saturday 22 August 2015

9 BILLION-DOLLAR MEGAPROJECTS THAT WILL CHANGE AFRICA

Al Noor Tower, Morocco: $1bn - Still to begin construction, the Al Noor Tower, Morocco, would be the tallest building in Africa. The $1 billion project, financed by Middle East Development LLC and designed by French architects Valode and Pistre, is planned to be 114 stories of offices, apartments, a seven-star hotel and an art gallery, as well as housing shopping arcades.
Modderfontein development, South Africa: $6.5bn - Chinese group Zendai are ploughing investment into a $6.5 billion future city, 20 kilometers from the heart of Johannesburg. Construction time is estimated to take between 15 to 20 years, and the 13 million square meters development will include commercial, industrial and residential complexes, including cultural and entertainment hubs. The project is anticipated to create 200,000 jobs and cater for 100,000 residents.
Mauritius oil: $2bn - Mauritius has sought to capitalize on its offshore oil reserves, and India's Mangalore Refinery & Petrochemicals Ltd. is set to explore territoty as part of an overarching project worth $2 billion according to Deloitte.
Suez Canal expansion, Egypt: $8bn - Egypt's $8 billion Suez Canal extension was initially scheduled to take three years, but was completed in one. Three quarters of the world's dredgers and 41,000 workers, operating round the clock, moved half a trillion cubic meters of earth by June this year - the equivalent of 200 Great Pyramids - meaning the canal will raise $13 billion annually by 2023 according to government projections.
East African Railway Masterplan: $35.5bn (estimate) - A new railway line between Mombasa and Nairobi has started to turn the wheels on the vast East African Railway Masterplan. The standard gauge tracks will make the transport of goods and people faster and easier, and eventually intends to connect Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan, Ethiopia and beyond.

Wednesday 19 August 2015

AfDB PRESIDENT KABERUKA RECEIVES BENIN'S HIGHEST HONOURS





African Development Bank President Donald Kaberuka was awarded on Monday, August 10 in Cotonou, Benin, the country’s highest honours, the title of Grand Officer in the National Order of Benin.

Kaberuka received the honours on the occasion of his last official visit to Benin as AfDB President. The award was in recognition of the important role played by Kaberuka at the head of the African Development Bank, in improving the lives of all Africans and the people of Benin in particular.

Benin’s President Boni Yayi saluted Kaberuka’s leadership and his vision, which he said permitted the Bank to position itself as one of Africa’s premier development institutions and a key player in the continent’s regional integration.

TANZANIA: POACHING THREATENS TOURISM INDUSTRY GROWTH

Poaching in Tanzania is threatening to undermine the East African nation’s growing tourism economy, one otherwise poised to add hundreds of thousands of jobs in the coming years.

Dr. Adelhelm Meru, permanent secretary of Tanzania’s Ministry of Natural Resources and Tourism, warns that poaching could affect as many as 3.8 million tourism-sector jobs across Africa, including guides, drivers, and hotel and restaurant staff.

All Africa reports:

Tanzania, like many African nations, has been hard hit by poaching over the past decade. Last year a survey revealed that the country had lost more than half its elephants, with populations declining from 110,000 in 2009 to fewer than 44,000. Tanzania's iconic giraffes, the country's national symbol, have also suffered, as has much of its other wildlife.

KAMPUNI YA SWALA YAAHIDI MAKUBWA, MWAKA MMOJA BAADA YA KUINGIA KATIKA SOKO LA HISA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kampuni yake kutimiza mwaka mmoja tangu iingie katika soko la hisa (IPO) ambapo Swala iliingiza jumla ya hisa za kawaida 9,600,000, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Advisory Limited, Iyen Nsemwa.

GLAMOUR AS EXIM BANK TANZANIA CELEBRATES 18TH ANNIVERSARY

Exim Bank Chief Executive Officer Dinesh Arora speaks during the 18th Anniversary Celebration of the bank in Dar es Salaam over the weekend.
Exim Bank Tanzania staff in a cheery mood during a celebration event organized to mark the 18th anniversary of the bank in Dar es Salaam over the weekend.
Exim Bank Tanzania Senior Branch Manager Rose Kanijo (fifth right) leads the bank’s customers Geofrey Mihambo (fourth right) and Usha Kakad (third right) to cut a cake to symbolize the marking of the bank’s 18th anniversary in an event held at the bank headquarters in Dar es Salaam over the weekend.
Dar es Salaam, August 18, 2015. Exim Bank Tanzania has entered its 18th year of operation in the country while promising to continue striving to perform its best in the current competitive market.

The bank, which is a local Tanzanian bank began operations on 15th August, 1997 with a single branch at Samora Avenue, in Dar es Salaam to date boasts of a network of 30 branches in Tanzania and 7 outside the country with the bank’s total assets crossing the Tshs 1.1 trillion milestones as at June this year. The bank has a total footprint of 57 ATM’s in Tanzania, over 250 points of sales and is present in 16 regions of the country serving over 180,000 customers.

WELCOME TO ROL INTERNATIONAL PRESCHOOL & DAYCARE



Tuesday 18 August 2015

WAZIRI MEMBE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO WAKATI WA KONGAMANO LA DIASPORA

Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko, Tuntufye Mwambusi akimpa maelezo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard K. Membe (Mb.) kwenye banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo nje ya kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard K. Membe (Mb.) akifuatilia maelezo kutoka kwa maafisa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika banda la maonyesho la Shirika kwenye kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (kushoto) akipata maelezo kuhusu matumizi ya Gesi Asilia, Miradi na manufaa yake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Bw. James Mataragio (kulia) alipotembelea banda la shirika hilo wakati wa Kongamano la Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora).
Waziri Membe akionyeshwa na Bw. Mataragio eneo bomba la gesi asilia lilipopita kwenye Mchoro wa Ramani ya Tanzania uliopo mbele yao.

KONGAMANO LA DIASPORA NA WAJASIRIAMALI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.
Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.
Bw. Miles nae akichangia wakati wa mjadala kuhusu mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania na namna ya kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wakati katika maendeleo ya nchi.
Balozi Mulamula akizungumza wakati wa mjadala huo.
Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing akiwasilisha mada kuhusu Mapinduzi ya Viwanda nchini na wajibu wa Diaspora katika ukuaji wa SME's.