Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 18 November 2015

BENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA MKOANI MWANZA

Meneja Uendelezaji Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia huduma hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Mwanza hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu (Islamic Banking) za Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia huduma hiyo.
Meneja Uendeleza Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto), akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia huduma hiyo.
Meneja Uendeleza Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto), akiagana na mmoja wa wateja wao, Shabani Luzila mara baada ya semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia Islamic Banking ya NBC.
Baadhi ya washiriki wa semina kuhusu huduma za kibenki zinazofuata misingi ya kiislamu za benki ya NBC iliyofanyika mjini Mwanza hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment