Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 26 August 2015

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC), NEHEMIAH KYANDO MCHECHU AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA BUILDEXPO AFRICA 2015 DAR

Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. Maonyesho yalifunguliwa Jumamosi iliyopita.
Nehemiah Kyando Mchechu akionyesha jarida la BuildMart ambalo nalo lilizinduliwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya Uturuki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya China kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akitia saini kitabu cha wageni kwenye banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyango Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment