Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 25 April 2024

ALLIANCE LIFE ASSURANCE MAKES WAVES IN PARLIAMENT


Great news! Alliance Life Assurance Limited was recently invited to the Parliament of Tanzania. This opportunity allowed us to raise awareness about the importance of life insurance and showcase the diverse products we offer.


We spoke with esteemed members of Parliament about how life cover, savings plans, and investment-linked plans can bring financial security to Tanzanian families. It was an honor to bridge the gap in life insurance knowledge!


This invitation reflects our unwavering commitment to empowering Tanzanians financially. We believe everyone deserves access to life insurance solutions that fit their needs.


Looking ahead, Alliance Life is dedicated to:
  • Expanding our life insurance products
  • Educating the public on life insurance benefits
  • Strengthening partnerships for financial security
By working together, we can make a real difference in the lives of Tanzanians.

Ready to learn more? Contact us today to explore how Alliance Life insurance can benefit you and your loved ones!

DStv BREAKING NEWS - PUNGUZO MAALUMU!!!



BENKI YA EXIM YAKABIDHI VITANDA KWA SHULE YA POLISI KILIMANJARO

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya Exim, Stanley Kafu (wa tatu kushoto) akikabidhi seti ya vitanda kwa Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi, SACP Ramadhani Mungi (wa nne kulia), kama sehemu ya mchango wa Benki ya Exim katika jamii ikiwemo ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao ambapo makabidhiano hayo yamefanyika tarehe 24 Aprili, 2024.

Kilimanjaro, 24 Aprili 2024 - Benki ya Exim imekabidhi seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, Mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango wa Benki ya Exim katika jamii ikiwemo ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao.


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Stanley Kafu alisema, “Kupitia mkakati wetu wa kurudisha kwa jamii unayojulikana kama Exim Cares na kama ishara ya mashirikiano yetu ya muda mrefu, tunayo furaha kuchangia vitanda 40 kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania ya hapa Moshi.”


Benki ya Exim inaamini mchango huu utasaidia kuboresha mazingira ya mafunzo kwa maafisa wa polisi ili wapate mafunzo bora yatakayochangia kuboresha jeshi la polisi katika majukumu yake ya kuwahakikishia ulinzi na usalama Watanzania wote na mali zao.

“Ushirikiano wetu na Jeshi la Polisi haujaanza leo, mwaka jana Benki ya Exim tumeingia makubaliano na Jeshi la Polisi Tanzania yenye lengo la kuwezesha utoaji wa mikopo ya masharti nafuu kwa askari polisi kupitia programu yetu maalumu ijulikanayo kama ‘Wafanyakazi Loan’”, aliongeza Kafu.

KAMPUNI YA SIGARA - TCC YAIDHINISHA GAWIO KWA WANAHISA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya sigara - TCC, Takashi Araki akiongea katika Mkutano Mkuu wa 59 wa wana hisa.

Kampuni ya Sigara - Tanzania Cigarette Company (TCC) imeidhinisha Gawio la Shilingi 500 kwa Hisa kwa Wanahisa wake ikiwa ni baada ya kampuni hiyo kupata faida baada ya kodi ya Shilingi bilioni 66.2 ikiwa ni pungufu ya asilimia 4 ya faida iliyopata Kampuni hiyo kwa mwaka 2022.

Yamesemwa hayo na Mwenyekiti wa Bodi wa TCC, Paul Makanza wakati wa Mkutano Mkuu wa 59 wa Wanahisa wa Kampuni hiyo kwa mwaka 2023, ambapo amesema upungufu huo umetokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji ambazo zilisababishwa na changamoto za kiuchumi ulimwenguni.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo amesema licha ya changamoto, mapato ya Kampuni hiyo yameongezeka kufikia Shilingi milioni 373,527 sawa na ongezeko la asilimia 9.7 ikilinganishwa na mwaka uliopita, ukuaji ambao umechochewa na ongezeko la asilimia 5.1 katika mauzo ya ndani ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Mwaka 2022, Kampuni hiyo ili idhininisha Gawio la jumla ya Shilingi bilioni 67 sawa na Shilingi 670 kwa hisa.

STANBIC, RAMANI TO REVOLUTIONIZE DOMESTIC TRADE & FINANCIAL INCLUSION


Dar es Salaam, Tanzania, April 22, 2024 – Today, Stanbic Bank Tanzania, a key player in Tanzania’s banking sector, and Ramani, a leading financial technology firm, are excited to announce a strategic partnership aimed at transforming domestic trade and advancing financial inclusion across Tanzania. This groundbreaking collaboration seeks to leverage technology and strong financial backing to enhance the business capabilities of local distributors and entrepreneurs.


The partnership aims to utilize Ramani’s sophisticated financial technology infrastructure alongside Stanbic Bank’s robust financial resources. This collaboration will support over 100 distributors in its first year, focusing on key value chains in the Fast-Moving Consumer Goods (FMCG) sector. By integrating advanced technological platforms and financial strategies, the partnership addresses critical aspects of risk management, sales monitoring, and digital transactions to enhance operational efficiency across the board.


Fredrick Max, Head of Business & Commercial Banking at Stanbic Bank Tanzania, remarked, “Our collaboration with Ramani is more than a business venture; it is a strategic alignment that promises to revolutionise the way trade is conducted in Tanzania. By combining our strengths, we aim to not only support the financial needs of local distributors but also to contribute significantly to the economic growth of our nation.”

The core objective of this partnership is to provide Distributor and Dealer Financing to enhance the supply chain management for distributors and dealers involved with major brands like Coca-Cola. The collaboration will facilitate better procurement management, inventory control, and digital sales tracking, significantly improving business processes and financial transactions.

Wednesday 24 April 2024

GGML: LEADING THE WAY IN EMPLOYEE WELLBEING AT THE INAUGURAL CORPORATE WELLNESS CONFERENCE

Dr Aalen Mtemi, GGML's Chief Medical Officer (far right), shared insights into GGML's wellbeing initiatives at the inaugural Corporate Wellness Conference in Dar es Salaam. Alongside him on the 'Trendsetters in Corporate Wellness' panel, from left to right: Amos Mugisha, Country Director & Director of Operation at PATH, Scholastica Williams, Senior Manager, Delivery Lead at Deloitte Tanzania and Heri Marwa, Country Director at PharmAccess.
Marsha Macatta-Yambi, Executive Director, Global Compact Network Tanzania (left) and Bhakti Shah, Founder and Managing Director of ImpactAfya Ltd, co-organisers of the first Corporate Wellness Conference held at the Hyatt in Dar es Salaam on 17 April 2024.

In a bold move to champion corporate wellness and sustainability, Geita Gold Mining Limited (GGML), a subsidiary of AngloGold Ashanti, recently attended the inaugural Corporate Wellness Conference (CWC) in Dar es Salaam, Tanzania.

The event was organised by the local chapter of the UN Global Compact, Global Compact Network Tanzania (GCNT), in partnership with ImpactAfya Limited.

Bhakti Shah, founder and Managing Director of ImpactAfya Ltd, one of the co-organisers of the event, said, "It was important for us to come up with a platform where we can create awareness, where we can discuss wellness issues and non-communicable diseases. And we're able to come up with solutions because wellness is a profession in itself".

The CWC brought together industry leaders to discuss the critical role of corporate wellness programmes in mitigating the impact of non-communicable diseases (NCDs) and promoting sustainable business practices.

Recognised for its unwavering commitment to the well-being of its employees and the wider community, GGML was a natural choice to participate in the 'Trendsetters in Corporate Wellness' panel. Dr Aalen Mtemi, GGML's Chief Medical Officer, took to the stage to share the company's innovative approach to corporate wellness.

BENKI YA EXIM YAENDELEA KUWAINUA KIUCHUMI WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Stanley Kafu, Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya mpango endelevu wa kuwainua kiuchumi wanawake wajasiriamali ujulikanao kama WEP yaliyofanyika tarehe 23 Aprili 2024, Mjini Arusha.
Mshindi wa kwanza Beatrice Alban Msafiri (wa pili kulia), Zainab Nungu Mkuu wa Kitengo cha Mikopo, Exim Bank (wa kwanza kushoto), na Faraja Nyalandu, Mkurugenzi Mtendaji wa Ndoto Hub (wa kwanza kulia) wakifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu wakati wa mahafali ya mafunzo ya ujasiriamali, biashara na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali chini ya mradi wa benki hiyo yajulikanayo kama WEP.
Mshindi wa pili, Catherine Assenga (wa pili kulia), Zainab Nungu Mkuu wa Kitengo cha Mikopo, Exim Bank (wa kwanza kushoto), na Faraja Nyalandu Mkurugenzi Mtendaji wa Ndoto Hub (kulia) wakifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu wakati wa mahafali ya mafunzo ya ujasiriamali, biashara na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali chini ya mradi wa benki hiyo yajulikanayo kama WEP.
Mshindi wa tatu, Rukia Said Mohamed (wa pili kulia), Zainab Nungu Mkuu wa Kitengo cha Mikopo, Exim Bank (wa kwanza kushoto), na Faraja Nyalandu, Mkurugenzi Mtendaji wa Ndoto Hub (wa kwanza kulia) wakifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu.
Washindi na baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Exim Bank wakati wa mahafali ya kumaliza mafunzo ya biashara, ujasiriamali, na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali.

Arusha, 23 Aprili 2024: Exim Bank, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya ujasiriamali, biashara, na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali kama sehemu ya kuunga mkono ujumuishwaji wa watu wote, wakiwemo wanawake, katika mipango mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania.

Kupitia mpango wake wa ‘Exim Cares’, mwaka jana (2023) Exim Bank ilizindua Mpango wa Kuwakwamua Kiuchumi Wanawake ujulikanao 'Women Empowerment Program (WEP)' wenye lengo la kuongeza ushirikishwaji na kuleta usawa kwa wanawake barani Afrika, hasa katika nchi ambazo zina matawi ya benki hiyo ikiwemo Tanzania, Comoros, Djibouti na Uganda.

Akizungumza katika mahafali hayo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu, anasema, “Ukiwa mwaka wa pili mfululizo wa mpango wa Kuwakwamua Wanawake Kiuchumi (WEP), Exim Bank tunafuraha kubwa kuwa sehemu ya mafanikio haya na tunawapongeza washiriki wote kwa kuanza na kumaliza salama mafunzo haya kuhusu ujasiriamali, uwezeshaji, na biashara.”

Washindi watatu, wa awamu hii ya kwanza mwaka huu, walipata zawadi za pesa taslimu zilitolewa kwa washindi watatu ambapo mshindi wa kwanza, Beatrice A. Msafiri, akizawadiwa kiasi cha TZS 8,000,000, mshindi wa pili, Catherine Assenga akipata TZS 5,000,000 na mshindi wa tatu, Rukia S. Mohamed akiondoka na TZS 3,000,000. Pia, wahitimu wote walipata fursa ya kuweza kupata mikopo bila riba kutoka Exim Bank ili waweze kujiendeleza kiuchumi.

Exim Bank inaamini uwezeshaji wa wanawake na ujasiriamali unabaki kuwa sehemu muhimu ya mipango ya maendeleo nchini Tanzania na barani Afrika kijumla. Hii inadhihirishwa na ongezeko la idadi ya wanawake katika nafasi za uongozi katika sekta mbalimbali kama siasa, kijamii na kiuchumi.

Akielezea kuhusu malengo ya mradi, Kafu alisema, “Mpango huu utakuwa ni endelevu kwa muda wa miaka mitano na tunatarajia kuwafikia wanawake zaidi ya 600,000 ifikapo mwaka 2028.”

INCHCAPE AUTOMOTIVE INTRODUCES CHANGAN AUTO TO TANZANIA



Dar es Salaam, 18th April 2024: Inchcape Automotive Tanzania, a 100% subsidiary of Inchcape Plc, the world's leading distributor of automotive brands, proudly announces the arrival of Changan Auto, marking the brand's entry into the Tanzanian market.


Changan Auto, a globally renowned Chinese automotive group, stands as the number one selling brand in China and the fourth-largest Chinese automotive group globally, its operations spanning across Asia, Australia, Europe, Africa, and South America. Inchcape plc, headquartered in London, United Kingdom, extends its reach to 40 countries, including Tanzania.


The introduction of Changan Auto in Tanzania is a testament to the confidence in the continuous economic relationship between China and Tanzania but also the importance of the Tanzania market and customers in the global context. Changan Auto's active presence in other East African markets such as Kenya & Djibouti scores its commitment to delivering smarter and better value-for-money mobility solutions to automotive customers within the region.


"Changan" literally translates to "Lasting Safety," reflecting the company's core promise and dedication to research and development. With a wide network of design studios worldwide and advanced R&D capabilities, Changan Auto delivers cutting-edge technology and design in its vehicles.


Inchcape Automotive presents five models from Changan's comprehensive range of vehicles both in passenger and light commercial segments, including the Oshan SUV, Alsvin sedan, Hunter pickup, Star 5 Minivan, and the Star 5 mini truck Single & Double cabin. These models offer superior driving performance, fuel efficiency, advanced in-car technology, and robust safety systems at competitive price points.


All Changan vehicles come equipped with Euro 6 and Euro 4 engines*, backed by warranties ranging from 3 to 5 years depending on the model, aimed at delivering a fantastic driving and ownership experience for Tanzanian customers.


Additionally, NAS Tyres Services Limited (NTS) serves as the official after-sales service partner for Inchcape Automotive and Changan Auto in Tanzania, providing parts and service works at NTS Service Centres in Dar es Salaam, Dodoma, and Arusha.


NTS will ensure that Changan Auto customers will have access to a state-of-the-art service center, genuine Changan parts & trained technicians. This will make sure the customers, being private or fleet ones, will always be taken care of wherever they are with their Changan vehicles. We are cognizant of the fact that some of the units are commercial and downtime means loss of money. NTS is here to make sure this does not happen.


Honourable Albert Chalamila, the Regional Commissioner of Dar es Salaam, has commended Inchcape Automotive for providing quality and affordable vehicles to Tanzanians, stating that this initiative will significantly enhance mobility in the city within both the passenger & commercial segments.


The Changan Auto models are now available for viewing and test driving at the Changan Showroom, located at AFED Business Park, Delta Towers on the ground floor along Pugu Road.

Tuesday 23 April 2024

KUNA NINI TAREHE 25.4.2024??? SAVE THE DATE...


DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KUNDI LA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Washington D.C, nchini Marekani, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na Tanzania.

Na Joseph Mahumi, WF, Washington.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) jijini Washington D.C, Nchini Marekani, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Tanzania.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza jambo wakati wa kikao chake na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko (hayupo pichani) Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Washington D.C, nchini Marekani.
Ujumbe wa Tanzania (kushoto) ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ukiwa katika kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Washington D.C, nchini Marekani, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko (katikati), akizungumza wakati wa kikao na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), kilichofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Washington D.C, nchini Marekani. Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mtendaji Mbadala wa Benki ya Dunia, anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1 Constituency (AfG1), Dkt. Zarau Kibwe (kushoto), Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Venuste Ndikumwenayo (kulia).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko (wa tatu kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa tatu kushoto), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji Mbadala wa Benki ya Dunia, anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1 Constituency (AfG1), Dkt. Zarau Kibwe (wa kwanza kulia), Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Venuste Ndikumwenayo (wa pili kushoto) na Afisa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Charles Longo (wa kwanza kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, jijini Washington D.C, nchini Marekani.

BIMA YA AFYAPASS KUTOKA VODABIMA YARAHISISHA HUDUMA ZA AFYA

Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Assemble Insurance, Tabia Massudi (kushoto) wakiwa na vipeperushi kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali, Ni Chap, ni Nafuu” inayohamasisha matumizi ya Bima Kidigitali uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma zake za VODABIMA zinazopatikana kwa M-Pesa, itanufaisha wagonjwa wa kulazwa na kutwa, vyombo vya moto na bima ya maisha kwa mtu mmoja mmoja na vikundi kwa gharama nafuu.

Mwamko mdogo wa Watanzania kuhusu bima ya afya ni mojawapo ya changamoto katika kutoa huduma bora za afya kwa wote kutokana na idadi ndogo ya Watanzania wenye bima. Takwimu za Wizara ya Afya (2022) zinaonesha kuwa asilimia 15 tu ya Watanzania, sawa na watu milioni 9.1, walikuwa na bima ya afya mwishoni mwa mwaka 2021, ikishuka kutoka asilimia 32% mwaka 2018.

Vodacom Tanzania PLC imeungana na Assemble Insurance na kuja na bima ya afya ya kijiditali kupitia simu ya mkononi iitwayo AfyaPass ambayo ni rahisi, nafuu, na inapatikana kwa Mtanzania popote pale alipo
nchini. Bima hii inapatikana kwa bei nafuu ya Shilingi 70,000 kwa mwaka kwa mtu mmoja na vifurushi vya familia kutoka TZS 105,000 kwa watu wawili hadi TZS 385,000 kwa watu sita kwa mwaka na inapokelewa katika hospitali binafsi na za serikali. Kwa malipo kidogo ya nyongeza, mtumiaji anaweza kupata huduma za uzazi, radiolojia, mazoezi tib ana nyingine nyingi.


Unaweza kujiunga na AfyaPass kupitia M-Pesa ikiwa ni moja ya aina za bima zinazotolewa kupitia VodaBima yenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za bima kwa kila mtu bila kujali kipato chake au umbali wa eneo anapotoka nchini Tanzania.

VODACOM YATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge (wa pili kulia) akipokea msaada wa kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya Rufiji na Kibiti wenye thamani ya takribani shilingi milioni 250 uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation. Msaada huo ulikabidhiwa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Vyombo vya Habari wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Annette Kanora (katikati). Wengine pichani kutoka kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald na Meneja Mauzo wa eneo hilo, Suleiman Amri na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele (kulia). Msaada huo ulikabidhiwa mwishoni mwa wiki mjini Kibiti.

ADVANCING CIRCULARITY WITH THE GALAXY S24 SERIES

  • Samsung is celebrating Earth Day by reflecting on the Galaxy S24 series and spotlighting the work of young changemakers
Samsung is on a journey to harness the power of technology to open more possibilities for people and the planet. To celebrate Earth Day, Samsung would like to reflect on how we’re advancing our mission and creating a more sustainable future — whether we’re increasing the use of recycled materials in our Galaxy mobile devices or collaborating with the United Nations Development Programme (UNDP).

Finding the Balance Between Innovation and the Environment

Samsung is reimagining how Galaxy technology is designed and packaged to do more with less when it comes to our planet’s natural resources. For the last decade, we have worked to innovate high-performance components that are made with recycled materials.

We took an important step in 2022 when we incorporated recycled discarded fishing nets, also known as ghost nets, in the Galaxy S22 series. Recycled materials can now be found in all Galaxy mobile products, including smartphones, tablets, PCs and wearables. At the same time, we have expanded our use to a greater variety of materials, from several different types of plastics to metals and glass.

The Galaxy S24 series takes these actions one step further. For the first time in any Galaxy device, we developed key device components with recycled cobalt, rare earth elements and steel. The battery in the Galaxy S24 Ultra contains a minimum of 50% recycled cobalt, and 100% recycled rare earth elements and a minimum of 40% recycled steel were used in the speakers.

Samsung has a long history of addressing the pervasive challenge of plastic waste through our recycled material innovations, and recycled plastics continue to play an important role in the Galaxy S24 series. The Galaxy S24 series maintains our use of recycled plastics sourced from discarded fishing nets, water barrels and PET bottles.

NMB BANKROLLS 8TH CONSECUTIVE ALAT CONGRESS WITH OVER 200m/-


The 38th congress of the Association of Local Authorities Tanzania (ALAT) starts today in Zanzibar with NMB Bank financing the annual convention for the eighth consecutive time with a sponsorship package of over TZS 200 million.


The financing, which also caters for supportive events during the three-day conference such as the networking dinner today evening, includes TZS 120 million cash whose dummy cheque was handed over to the ALAT national leaders yesterday at the Golden Tulip Airport Hotel.


Speaking before the handover, Chief Executive Officer Ruth Zaipuna said NMB sponsorship of the summits has so far amounted to over TZS 1.2 billion, which the national Vice-Chair of ALAT, Mr Sima Costantine, said signifies the bank’s commitment to support local government authorities (LGAs).


“We have had a long and strategic partnership with ALAT and its members and for more than eight years now we have collaborated in various developmental matters,” Ms Zaipuna noted before the handover of the 2024 Congress sponsorship dummy cheque.


The NMB leader said that apart from sponsorship, NMB officials including her will fully participate in this year’s conference and its services, some of which are being showcased, are readily available to the congress delegates and other participants.

Lauding the lender for sustainably financing its summits, Mr Costantine said the sponsorships which started during the 31st congress have been of qualitative value to them.

The Mwanza City Mayor said the investment does not only show the unmatched commitment of the bank to support ALAT members but also its readiness to back their efforts to better delivery of quality services to communities.

“NMB Bank continues to be our key development ally and the ALAT community has benefited a lot commercially from this partnership,” Mr Costantine noted, adding that the two partners will see to it that it lasts for many years to come.

According to him, the bank’s sponsorship of the launch of Zanzibar Local Governments Association (ZALGA) yesterday was another testimony of its zeal to see the blossoming of LGAs and ensure they remain a catalytic provider of sustainable social and economic services.

NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU ALAT TAIFA; RAIS SAMIA KUFUNGUA LEO

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 120, Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Sima Constantine Sima (katikati) kwa ajili ya udhamini wa Mkutano Mkuu wa ALAT Taifa utakaofanyika kuanzia leo jijini Zanzibar. Kushoto ni Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB, Alfred Shao, Kulia ni Meneja wa Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar, Naima Said Shaame (kulia) na Kaimu Katibu Mkuu wa ALAT Taifa, Mohammed Maje (wa pili kulia).

Benki ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT Taifa), unaofunguliwa Jumanne Aprili 23 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwakutanisha washiriki zaidi ya 600.


Kiasi hicho kinachodhamini mkutano wa mwaka huu unaofanyika chini ya kaulimbiu; ‘Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Jambo Letu; Shiriki kwa Maendeleo ya Taifa,’ kinafanya udhamini wa NMB kwa ALAT Taifa kufikia Sh. Bil. 1.2 katika kipindi cha miaka nane.


Mkutano Mkuu wa ALAT, unaowapa fursa viongozi wa Serikali Kuu kutoa Maelekezo na Miongozo ya Kisera kwa Watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, wakiwemo Mameya wa Majiji na Manispaa, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmshauri 184 (za Tanzania Bara), utafungwa Aprili 25 na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi.


Kwa miaka nane sasa, NMB na ALAT zimekuwa na ushirikiano endelevu katika masuala mbalimbali kwa maendeleo ya Halmashauri zote nchini, ikiwemo kudhamini na kufanikisha vikao na Mikutano Mikuu ya Mwaka ya ALAT, ambayo kimsingi ndio chachu ya utendaji bora kwa Halmashauri hizo.


Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, iliyofanyika Golden Tulip Zanzibar Airport Hotel, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna, alisema wanajivunia kuwa wabia wakubwa wa ALAT, na kwamba wanathamini heshima ya kipekee wanayopewa na uongozi wa jumuiya hiyo.